KAZI SIO KWA AJILI YA KUJIKIMU BALI NI NJIA YA KUKUA KIBINAFSI NA KITAALUMA - RIDHIWANI KIKWETE
Na. Julieth Ngarabali, PWANI
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu,. Ridhiwani Kikwete ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Chalinze mkoani Pwani ameshiriki utoaji wa Tuzo za Wafanyakazi wa Kampuni ya MM Connect , wakala wa Kampuni ya Simu ya Vodacom.

"Sherehe za namna hii ni kielelezo cha utambuzi wa utendaji na mafanikio makubwa wanayoyapata kampuni za wazawa. Nawapongeza na serikali yenu itaendelea kuwaangalia na kuwasaidia wafanyabiashara nchini." Amesema KIKWETE
#KaziInaendelea
Club News Editor



Comments
Post a Comment