TAZAMA YANAYOJIRI CCM TAIFA JIJINI DODOMA



Na. Mwandishi wetu.Dodoma.




Baadhi yaWatumishi wa chama cha Mapinduzi (CCM) Makao Makuu, pamoja na jumuiya zake, Umoja wa Wazazi, Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM), na Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), wakimsikikiza na kufuatilia kwa makini hotuba ya Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, wakati wa kikao na watumishi hao, katika Ukumbi wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), jijini Dodoma,
Baadhi ya Watumishi wa chama cha Mapinduzi (CCM) Makao Makuu, pamoja na jumuiya zake, Umoja wa Wazazi, Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM), na Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), wakimsikikiza na kufuatilia kwa makini hotuba ya Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, wakati wa kikao na watumishi hao, katika Ukumbi wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), jijini Dodoma,


KURASA ZA PICHA MBALIMBALI ZA MATUKIO YANAYOENDELEA KWENYE MKUTANO WA JUMUIYA ZA CHAMA CHA MAPINDUZI  HUKO DODOMA  TANZANIA


Katibu Mkuu wa chama cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, akizungumza na watumishi wa CCM Makao Makuu pamoja na jumuiya zake ikiwemo ya Wazazi, Umoja wa Vijana (UVCCM) na Umoja wa Wanawake (UWT), kwenye Ukumbi wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM (NEC), Dodoma,








Club News Editor,  Julieth Ngarabali

Comments

Popular posts from this blog

RC PWANI AONGOZA WAKAZI PWANI KUJIANDIKISHA KWENYE DAFTARI LA WAPIGA KURA

BARAZA LA MADIWANI KIBAHA MJINI LAMPONGEZA MKURUGENZI WAKE KWA KAZI NZURI ANAYOIFANYA SAMBAMBA NA KUONGEZA MAPATO.

RAIS SAMIA ATANGAZA KIBAHA MJINI KUWA MANISAPAA,MBUNGE KOKA AFURAHIA ASEMA KIBAHA ITANG'AA