NCHIMBI NA NAPE ‘MAZUNGUMZO MAZITO'
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Balozi Emmanuel Nchimbi na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), Nape Nnauye, ambaye pia ni Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, wamezama kwenye mazungumzo mazito kuhusu masuala mbalimbali, baada ya Waziri huyo kumtembelea Katibu Mkuu huyo ofisini kwake, Makao Makuu ya CCM, jijini Dodoma, Alhamis, Februari 1, 2024.
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye, alipomtembelea Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Balozi Emmanuel Nchimbi ofisini kwake, Makao Makuu ya CCM, jijini Dodoma, Alhamis, Februari 1, 2024.
News Editor - Charles Kusaga
Comments
Post a Comment