YANAYOENDELEA KIKAO CHA MAKATIBU WAKUU WA VYA VYA SIASA

  •   Shule ya uongozi ya Mwalimu Julius Nyerere (MJNLS)  Kibaha Pwani

Makatibu wakuu wa vyama sita marafiki vya Ukombozi kusini mwa Afrika, wakisaini katiba ya usimamizi na uendeshaji wa shule ya uongozi ya Mwalimu Julius Nyerere (MJNLS), eneo la kwa Mfipa, Kibaha, mkoani Pwani, Tanzania. 

Kuanzia katikati kwenda kulia ni  Dk. Emmanuel John Nchimbi, Katibu Mkuu wa CCM (Tanzania), Prof. Marcelina Chijoriga, Mkuu wa Shule ya MJNLS, Francisco Mucanheia, mwakilishi wa Katibu Mkuu wa Chama cha FRELIMO (Msumbiji) na Fikile Mbalula na Katibu Mkuu wa ANC (Afrika Kusini)  Obert Moses Mpofu, Katibu Mkuu wa Chama cha ZANU- PF (Zimbabwe),Sophia Shaningwa Katibu Mkuu wa Chama cha SWAPO (Namibia) na  Manuel Domingos Augusto, mwakilishi wa Katibu Mkuu wa MPLA (Angola). 

Makatibu wakuu wa vyama sita marafiki vya ukombozi kusini mwa Afrika, wakionesha nakala ya Katiba ya usimamizi na uendeshaji wa shule ya uongozi ya Mwalimu Julius Nyerere (MJNLS), baada ya kutia saini, huko  Kwa Mfipa, Kibaha, mkoani Pwani, Tanzania. 

Kuanzia katikati kwenda kulia ni  Dk. Emmanuel John Nchimbi, Katibu Mkuu wa CCM (Tanzania), Prof. Marcelina Chijoriga, Mkuu wa Shule ya MJNLS, Francisco Mucanheia, mwakilishi wa Katibu Mkuu wa Chama cha FRELIMO (Msumbiji) na Fikile Mbalula na Katibu Mkuu wa ANC (Afrika Kusini)  Obert Moses Mpofu, Katibu Mkuu wa Chama cha ZANU- PF (Zimbabwe),Sophia Shaningwa Katibu Mkuu wa Chama cha SWAPO (Namibia) na  Manuel Domingos Augusto, mwakilishi wa Katibu Mkuu wa MPLA (Angola). 

Club News Editor  Julieth Ngarabali

Comments

Popular posts from this blog

RC PWANI AONGOZA WAKAZI PWANI KUJIANDIKISHA KWENYE DAFTARI LA WAPIGA KURA

BARAZA LA MADIWANI KIBAHA MJINI LAMPONGEZA MKURUGENZI WAKE KWA KAZI NZURI ANAYOIFANYA SAMBAMBA NA KUONGEZA MAPATO.

RAIS SAMIA ATANGAZA KIBAHA MJINI KUWA MANISAPAA,MBUNGE KOKA AFURAHIA ASEMA KIBAHA ITANG'AA