SABAYA MWENYEKITI CCM ARUSHA
Thomas Loy Sabaya amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Arusha, baada ya ushindi wa kishindo wa kura 463 kati ya kura 907 za wajumbe wa uchaguzi huo
Sabaya,amechaguliwa katika uchaguzi wa CCM uliofanyika leo Jijini Arusha ambao kwa namna moja au nyingine ulikuwa uchaguzi wa aina yake
Wengine waliogombea nafasi hiyo ni Dk.Daniel Pallangy
Comments
Post a Comment