MKUTANO MKUU UTPC 2023

Umoja wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania unafanya mkutano wake mkuu kwa wanachama wake 28 ambao ni klabu za waandishi wa Habari za mikoa tofauti.

Mkutano huu unaofanyika jijini Dodoma yalipo makao makuu ya Umoja huu, umetanguliwa na kikao cha tathmini kwa kila klabu na kuweza kuweka mikakati ya kurekebisha na kujenga Umoja huu ili kufika malengo iliyojiwekea.



               Pichani wajumbe wa Mkutano katika kikao cha tathmini.



Club News Editor

Comments

Popular posts from this blog

MWENYEKITI KITONGOJI CHA KWAKIBOSHA MAPINGA AWAPIGA MSASA VIJANA 500 KULINDA AMANI YA TAIFA.

WIZARA YA AFYA YASEMA:UGONJWA WA SIKOSELI SIO WA KUROGWA, YAHAMASISHA JAMII KWENDA KUPIMA VINASABA

TAIFA GAS TANZANIA YAMUUNGA MKONO RAIS SAMIA KAMPENI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA