WAJUMBE PJT - MMMAM Mkoa wa Pwani
Wajumbe wa kamati ya maandalizi ya Programu Jumuishi ya Taifa ya malezi ,makuzi na maendeleo ya awali ya Mtoto (PJT-MMMAM) Mkoani Pwani wakiwa katika picha ya pamoja na uongozi wa Mkoa huo , program hiyo inayolenga kutoa huduma za afya, lishe, malezi yenye mwitikio, ujifunzaji wa awali na Ulinzi na usalama kwa watoto wenye umri wa miaka sifuri hadi nane ili wakue kwa utimilifu. . Picha Julieth Ngarabali
Comments
Post a Comment