UZINDUZI PJT - MMMAM Mkoa wa Pwani
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Abubakar Kunenge (kulia) akikata utepe kuzindua Programu Jumuishi ya Taifa ya malezi ,makuzi na maendeleo ya awali ya Mtoto (PJT-MMMAM) Mkoani humo inayolenga kutoa huduma za afya, lishe, malezi yenye mwitikio, ujifunzaji wa awali na Ulinzi na usalama kwa watoto wenye umri wa miaka sefuri hadi nane ili wakue kwa utimilifu. . Picha Julieth Ngarabali
Comments
Post a Comment